Samahani kwa ukimya wa muda mrefu, nilipotea ila sasa nimerudi na namshukuru MUNGU kwa msaada mkubwa na upendo wa ajabu alionionyesha na kunipa nafasi nyingine ya kusimama tena toka katika utumwa wa dhambi.
Hivyo basi ili kufanikisha uinjilishaji na kueneza neno la MUNGU basi naomba msaada wenu ndugu zangu wa maoni, sala, shuhuda, hadithi za kujenga kiroho na mapendekezo yoyote uliyonayo ili tuweze kueneza neno la MUNGU.Nitumie kwa robert.j.kimaro@gmail.com nami nitaipost kwenyeblog hii.
ASANTE SANA NA NASUBIRIA KUSIKIA KUTOKA KWENU, Mbarikiwe.
No comments:
Post a Comment