Sunday, 13 July 2014

SALA ILIYOKUTWA KWENYE KABURI LA YESU 1503 AD

Ukurasa-9, Kitabu-Mawaridi ya Sala


Ee Mungu Mwenyezi uliyekufa Msalabani kwa ajili ya dhambi zangu, uwe nami
Msalaba Mtakatifu wa Yesu - unihurumie
Msalaba Mtakatifu wa Yesu - uwe mkingaji wangu
Msalaba Mtakatifu wa Yesu - uniondolee maumivu yote
Msalaba Mtakatifu wa Yesu - uniondolee uovu wote
Msalaba Mtakatifu wa Yesu - nifanye nienende kwenye wokovu

Unikinge na ajali za mwili, uniondolee hatari ya kifo cha ghafla. Nauabudu Msalaba Mtakatifu wa Yesu Kristo wa Nazareti, uliyesulubiwa, unihurumie, unifanye kuondokana na roho ya uovu wakati wote, ee Mama wa Msaada wa Daima, naja mbele ya picha yako Takatifu na kuomba msaada wako kama mtoto. Jionyeshe sasa kwangu kwamba u mama, unionee huruma. Ee Mama mpenzi wa Msaada wa Daima kwa ajili ya upendo uliokuwa nao kwa Yesu na kwa heshima ya majeraha yake Matakatifu, unisaidie haja yangu (Taja).

Ee Mama Mpendevu, ninayaacha yote kwako kwa jina la Baba, ninayaacha yote kwako kwa jina la Mwana, ninayaacha yote kwako kwa jina la Roho Mtakatifu. Amina.

48 comments:

  1. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  2. Replies
    1. Yes. He was, he is & he will remain to be God forever.

      Delete
    2. Yes
      Why you asking this

      Delete
  3. Tumaini langu ni Yesu Kristu Amen

    ReplyDelete
  4. Nimebarikiwa ni sala nzuri saan

    ReplyDelete
  5. Nayapokea yote katika jana la Yesu Kristu amen

    ReplyDelete
  6. Sure go and read yohane 14:1-...u 'll get to know Jesus is God and not was God

    ReplyDelete
  7. Amina nina imani na napokea yote katika jina la Yesu Kristu wa Nazareth...

    ReplyDelete
  8. Imekua faraja ya moyo..Asante yesu, sifa kwako eeh yesu

    ReplyDelete
  9. Asante Kristo kwa msamaha wako kwangu

    ReplyDelete
  10. Je crois aux mistères de cette prière.

    ReplyDelete
  11. Amen . Hii ni moja kati ya Sala zinazozidi kuyabariki maisha yangu........truly powerful prayer

    ReplyDelete
  12. Hii sala ni nzuri sana pia nilikuwa naomba mnisaidie namna ya kupata kitabu hiki cha mawaridi ya sala no. Zangu ni 0746313540

    ReplyDelete
  13. Hichi kitabu naweza pata kwa whatsapp au email

    ReplyDelete
  14. Amen…I am truly blessed by this prayer 🙏

    ReplyDelete
  15. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  16. Nawezaje kitabu cha mawaridi

    ReplyDelete
  17. Nina ushuhuda japo mimi muislam juu ya sala hii

    ReplyDelete
  18. This kind of player is more than powerful as it uses to help in many aspects. Thanks a lot Lord

    ReplyDelete