Thursday, 17 July 2014

SALA KWA ROHO MTAKATIFU

Ukurasa-3, Kitabu-Mawaridi ya Sala
Ee Roho Mtakatifu, Roho wa Mungu wa juu mwenye enzi, unifanye mfuasi wako; uniongoze, uniangaze na unitakase; Unifunge mikono yangu ili nisiweze kufanya uovu; Uyafumbe macho yangu ili nisiweze kuuona; Utakase moyo wangu ili uovu usiweze kukaa ndani yangu. Uwe Mungu wangu, uwe kiongozi wangu; Popote utakaponiongoza nitakwenda, chochote utakachonikataza nitakikataa, na chochote utakachoniamuru kwa nguvu yako nitakifanya. Amina.
Kisha sali Atukuzwe 7 kwa heshima ya Roho Mtakatifu.

6 comments: